Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi. Muundo wa Tasisi kutokea kwa Mkurugenzi Mtendaji unajumuisha Idara/Divisheni na Vitengo mbalimbali ambapo kuna jumla ya Idara/Divisheni 9 na Vitengo 9.
IDARA/DIVISHENI NI HIZI ZIFUATAZO;
1. UTAWALANA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
2. HUDUMA ZA AFYA, USTAWI WA JAMII NA LISHE
3. ELIMU YA AWALI NA ELIMU MSINGI
4. ELIMU SEKONDARI
5. MIUNDOMBINU NA MAENDELEO YA VIJIJI NA MIJI
6. KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
7. MAENDELEO YA JAMII
8. MIPANGO NA URATIBU
9. VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
VITENGO VINAVYOUNDA HALMASHAURI NI;
1. HUDUMA ZA SHERIA
2. FEDHA NA UHASIBU
3. UKAGUZI WA NDANI
4. USIMAMIZI WA UNUNUZI
5. TEHAMA
6. UDHIBITI WA TAKANGUMU
7. UTAMADUNI, VIJANA NA MICHEZO
8. MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
9. MAWASILIANO SERIKALINI
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit