• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima

YALIYOJIRI KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MBINGA DC TAREHE 9 NOVEMBA, 2022

Tarehe ya kuwekwa: November 9th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga siku ya Jumatano tarehe 9 Novemba 2022, Baraza la Madiwani liliketi katika kikao chake cha kawaida cha robo ya kwanza  kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Septemba 2022/2023.

Kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ulioko Kiamili na kuongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mhe. Desderius Haule na Katibu wa Baraza hilo ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Bw. Juma Haji Juma, Kikao hicho  kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.

Pamoja na mambo mbali mbali yaliyojadiliwa na Baraza hilo, Pia  limeishauri Serikali kupitia Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini TARURA kuchunguza na kumchukulia hatua kandarasi Kisomi Engeneering Ltd kutokana na utekelezaji  ulio chini ya kiwango wa miradi ya barabara na madaraja kwenye maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga. Aidha, Kaimu Meneja wa TARURA Wilaya ya Mbinga Mhandisi Isack Mwita amesema tayari hatua kadhaa zimeanza kuchukuliwa ikiwemo shauri hilo kufikishwa Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Mbinga, sambamba na kuipatia kampuni nyingine za kandarasi ambazo awali alipatiwa mkandarasi Kisomi Engineering Ltd.

Katika hatua nyingine Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga liligeuka kuwa Kamati ili kujadili shauri la utoro la mtumishi Reginald Sabas Komba ambapo kupitia taarifa ya maamuzi ya kamati, Mwenyekiti Mhe. Desderius Haule aliutangazia imma kuwa wamejiridhisha juu ya mashitaka hayo hivyo wameamua kumfuta kazi  mtumishi huyo aliyekua Mtendaji wa Kijiji cha Kimara Kata ya Muungano kwa kosa la kutokuwepo kazini muda mrefu.

Imetolewa na

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 18, 2022
  • MAELEKEZO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA SHULE ZA BWENI 2023 December 18, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI ENEO LA KIAMILI October 13, 2021
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MBINGA DC KUWA MFANO UTEKELEZAJI WA MRADI MKUBWA WA UMILIKISHAJI ARDHI NCHINI

    January 11, 2023
  • MBINGA DC YAKAMILISHA UJENZI WA MADARASA MAPYA 10

    January 06, 2023
  • BENKI YA NMB YAWEZESHA PIKIPIKI KWA MAAFISA USHIRIKA MBINGA NA NYASA

    December 30, 2022
  • KAMATI YA SIASA YATEMBELEA KITUO CHA AFYA MKUMBI

    December 29, 2022
  • Tazama zote/kote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christine Mndeme aagiza Halmashauri ya Wilaya kuhamiamia Kiamili kabla ya tarehe 30/10/2019
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Iringa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit