• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima

WIZARA YA MAJI YATOA ZAWADI KWA WANANCHI MBINGA NA NYASA KWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI

Tarehe ya kuwekwa: March 13th, 2023

Wizara ya Maji kupitia Ofisi ya Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Nyasa imetoa saruji mifuko 150 na fedha tasilimu kiasi cha shilingi Laki Tano kwa wananchi na Jumuiya ya Watumia Maji Bonde Dogo la Mto Luwaita (JUWAMALU) ikiwa ni hatua ya kutambua na kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wadau hao wa maji katika utunzaji na uhifadhi wa vyanzo vya maji kwenye maeneo mbalimbali ya Wilaya za Mbinga na Nyasa.

Hafla ya kukabidhi zawadi hizo kwa walengwa imefanyika leo Jumatatu tarehe 13 Machi 2023 katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ambaye amekabidhi hati za unununuzi wa saruji mifuko 50 kwa kila Halmashauri kwa Wenyeviti watatu wa Halmashauri za Wilaya ya Mbinga, Halmashauri ya Mji Mbinga na Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa lakini pia akikabidhi risiti ya mapokezi ya fedha kwa mwenyekiti wa JUWAMALU.

Akitoa maelezo ya utangulizi kuhusiana na hafla hiyo Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Nyasa Mhandisi Elice Mnally amesema suala la zawadi ni utu lakini kutunza vyanzo vya maji ni wajibu wa kila mmoja na ni suala la maisha yetu, ustaarabu wetu na afya zetu kwa ujumla.

"Jitihada hizi tunazoziweka ni kwa sababu mkoa wa Ruvuma una vyanzo vingi vya maji na tuna wajibu wa kuhakikisha tunavitunza vyanzo hivi ili viweze kutusaidia kwenye maendeleo yetu ya kiuchumi lakini hata vizazi vinavyofuata." Amesisitiza Mhandisi Mnally na kuongeza kuwa utunzaji wa vyanzo vya maji linatakiwa kuwa kama desturi na wajibu wa kila mmoja.

Halfa hii imeandaliwa na Wizara ya Maji kupitia Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Nyasa na ni kufuatia ziara ya Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso mwaka 2022 alipotembelea miradi na vyanzo vya maji kwenye maeneo mbalimbali wilayani Mbinga na Nyasa na kuridhishwa na hali ya uhifadhi na utunzaji wa vyanzo hivyo ambapo alitoa ahadi ya kuchangia mifuko 150 ya saruji kwa ajili ya kuendeleza miradi ya maji ya jamii kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Halmashauri ya Mji Mbinga na Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Imeandikwa na Salum Said 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 24, 2023
  • TANGAZO LA KAZI MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU April 17, 2023
  • WALIOITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI April 14, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI ENEO LA KIAMILI October 13, 2021
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MBINGA DC YAWASHUKURU WATAALAM KUTOKA SUA KWA ELIMU YA MNYOO TEGU

    May 29, 2023
  • "WAZAZI TIMIZENI WAJIBU WENU NDANI YA FAMILIA"...DC MANGOSONGO

    May 15, 2023
  • VIONGOZI WA WILAYA YA ILEJE WAFANYA ZIARA YA KIKAZI MBINGA DC

    May 12, 2023
  • RC RUVUMA AZINDUA MADARASA MAALUM YA AWALI SHULE YA MSINGI KIPAPA

    April 27, 2023
  • Tazama zote/kote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christine Mndeme aagiza Halmashauri ya Wilaya kuhamiamia Kiamili kabla ya tarehe 30/10/2019
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit