• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima

MBINGA DC YAKAMILISHA UJENZI WA MADARASA MAPYA 10

Tarehe ya kuwekwa: January 6th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Juma Haji Juma amekabidhi vyumba 10 vya madarasa yenye thamani ya shilingi Milioni 200 kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga katika hafla iliyofanyika Shule ya Sekondari ya Wasichana Mbinga eneo la Kiamili, Kata ya Kigonsera Wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mbinga wakati wa hafla hiyo leo Januari 6, 2023 Mkurugenzi Mtendaji amesema fedha za ujenzi wa madarasa hayo 10 ambayo yamejengwa kwenye Shule 5 za Sekondari za Kipapa, Kipololo, Litumbandyosi, Mahilo na Mbinga Girls zimetolewa na Serikali Kuu. 

Ameongeza kuwa ujenzi wa madarasa hayo ulioanza tarehe 20 Oktoba 2022 mara baada ya mapokezi ya fedha ulikamilika tarehe 15 Disemba 2022, utekelezaji wake ukijumuisha pia uwekaji wa samani yaani meza na viti kwenye kila chumba cha darasa.

Akizungumza mara baada ya kukagua na kupokea taarifa ya mradi, Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo amempongeza Mkurugenzi na watendaji wa Halmashauri kwa usimamizi mzuri katika utekelezaji wa mradi na kwamba yeye mwenyewe binafsi amejionea namna madarasa hayo pamoja na samani zake yalivyojengwa kwa viwango na ubora unaostahili huku akielekeza walimu kusimamia utunzaji wa miundombinu hiyo kwenye shule zao.

Aidha Mhe. Mangosomo ametoa wito kwa jamii kuchangamkia zoezi la uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la kwanza na elimu ya awali kipindi hiki likiwa linaelekea ukingoni na kuhakikisha wanachangia nguvu zao ili kuunga mkono jitihada za serikali katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye maeneo yao.

Naye Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mhe. Benaya Kapinga amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kwa kuipatia Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga fedha nyingi na kuiwezesha kutelekeza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Jengo la Utawala na Ofisi za Halmashauri, Hospitali, Nyumba ya Mkurugenzi na Wakuu wa Idara pamoja na madarasa hayo ambayo yamekabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya tayari kwa kuanza kutumiwa na wanafunzi mara tu shule zitakapofunguliwa.

Imeandikwa na 

Salum Said 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini 

Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga 

Tarehe 6 Januari, 2023

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA MAFUNZO YA UANAGENZI KWA VIJANA March 06, 2023
  • TANGAZO LA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI NAFASI 05 MWISHO TAREHE 15 March 02, 2023
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 18, 2022
  • MAELEKEZO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA SHULE ZA BWENI 2023 December 18, 2022
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • WIZARA YA MAJI YATOA ZAWADI KWA WANANCHI MBINGA NA NYASA KWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI

    March 13, 2023
  • RC RUVUMA ATOA RAI KILA MMOJA KUWAJIBIKA KATIKA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI

    March 13, 2023
  • NYASA MWENYEJI KILELE SIKU YA WANAWAKE RUVUMA 2023

    March 08, 2023
  • WANAFUNZI 28 KUTOKA CHUO CHA FDC MUHUKURU KUFANYA MAFUNZO YA VITENDO MBINGA DC

    March 06, 2023
  • Tazama zote/kote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christine Mndeme aagiza Halmashauri ya Wilaya kuhamiamia Kiamili kabla ya tarehe 30/10/2019
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit