• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima

KAMATI YA SIASA YATEMBELEA KITUO CHA AFYA MKUMBI

Tarehe ya kuwekwa: December 29th, 2022

Kamati ya Siasa Wilaya ya Mbinga leo Disemba 29, 2022 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya kinachojengwa Kata ya Mkumbi, Tarafa ya Mkumbi Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

Kituo hicho cha Afya Mkumbi kinajengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 500, fedha zilizotolewa na Serikali Kuu wakati huu kikiwa kwenye hatua za mwisho za ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu yake kama vile Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), Jengo la Upasuaji, Jengo la Maabara, Jengo la Mama na Mtoto, Jengo la Kufulia (Loundry) na Kichomeo Taka (Incinerator).

Aidha kwa mujibu wa maelezo ya Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri Bw. George Mhina Kituo hicho kinatarajiwa kuanza kutoa huduma Mwezi Machi 2023 huku Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbinga Ndg. Joseph Mdaka na Kamati yake ya Siasa wakiahidi kuziwasilisha changamoto za kukosekana kwa umeme, maji na barabara kwenye Kituo hicho zilizobainishwa mbele yake na Diwani wa Kata ya Mkumbi Bruno Kapinga kwa viongozi wa Taasisi husika za TANESCO, RUWASA na TARURA.

Imeandaliwa na

Salum Said, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali 

Tarehe 29 Disemba, 2022

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA MAFUNZO YA UANAGENZI KWA VIJANA March 06, 2023
  • TANGAZO LA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI NAFASI 05 MWISHO TAREHE 15 March 02, 2023
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 18, 2022
  • MAELEKEZO KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA SHULE ZA BWENI 2023 December 18, 2022
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • WIZARA YA MAJI YATOA ZAWADI KWA WANANCHI MBINGA NA NYASA KWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI

    March 13, 2023
  • RC RUVUMA ATOA RAI KILA MMOJA KUWAJIBIKA KATIKA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI

    March 13, 2023
  • NYASA MWENYEJI KILELE SIKU YA WANAWAKE RUVUMA 2023

    March 08, 2023
  • WANAFUNZI 28 KUTOKA CHUO CHA FDC MUHUKURU KUFANYA MAFUNZO YA VITENDO MBINGA DC

    March 06, 2023
  • Tazama zote/kote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christine Mndeme aagiza Halmashauri ya Wilaya kuhamiamia Kiamili kabla ya tarehe 30/10/2019
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit