• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima

Elimu


ELIMU  YA MSINGI.


Afisa Elimu Msingi: Mr. Samwel Komba

 

Wilaya ya Mbinga ina  jumla ya Shule za Msingi 227 zenye jumla ya  wanafunzi 79,473 kati yao wavulana ni 39,033 na wasichana 40,440.   Aidha kati ya Shule 227, Shule 5 ni za  binafsi zinazomilikiwa na Madhehebu mbalimbali ya dini zenye jumla ya wanafunzi  1,106 wakiwemo wavulana 549 na wasichana 557              .Wilaya ina Shule mbili zinaozojumuisha kundi  maalum la wanafunzi wenye ulemavu wa Viungo, Akili na Ngozi (Albino). Shule hizo ni St.  Wilhelm na Huruma.Wilaya ina jumla ya Walimu ........ ambapo wanawake .....na wanaume........ 

MAFANIKIO

Halmashauri   iliyoongoza kufanya vizuri kitaifa katika mitihani ya Kumaliza Elimu ya Msingi  mwaka 2013 na hivyo kuzawadiwa Ngao ya Halmashauri bora kitaaluma mwaka 2013 

Halmashauri  ambayo ilitoa  shule nyingi zipatazo 109 zilizofanya vizuri na kuzawadiwa vyeti vya shule zilizoongoza ufaulu kitaifa.

Wanafunzi wote wanakula shuleni chakula cha mchana,hii imesaidia sana kwa sasa kwani utoro umepungua kwa asilimia 90. Hivyo kuongeza ufaulu kwa darasa la nne nadarasa la saba 

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 05, 2022
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI ENEO LA KIAMILI October 13, 2021
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • VIJANA FASTAFASTA WANUFAIKA MKOPO WA BAJAJI

    April 25, 2022
  • MIRADI 9 YATEMBELEWA NA MWENGE WA UHURU 2022

    April 10, 2022
  • KAMATI YA SIASA YARIDHISHWA NA UBORA WA MIRADI MBINGA DC

    March 18, 2022
  • MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    March 08, 2022
  • Tazama zote/kote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Christine Mndeme aagiza Halmashauri ya Wilaya kuhamiamia Kiamili kabla ya tarehe 30/10/2019
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya Mkoa wa Iringa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri Wilaya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Songea

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit